Saturday, April 12, 2014

DAR TETE

Dar mvua mtindo mmoja leo na jana.
ni mitaa ya Kinyerezi/Segerea Bridge leo asubuhi.
Picha ya mdau Rajab.
Na kule Mpiji Bridge (Mpakani Dar na Bagamoyo) nako mambo si shwari
Picha kwa hisani ya wanamitandao

No comments:

Post a Comment