Msalya-myfamily
Total Pageviews
Monday, December 30, 2013
KUELEKEA MACHI 09, 2014
Vikao vya maandalizi kwa ajili ya Sherehe ya Harusi ya Bw. Joel Joshua Kaitira vimeanza.
Jana, Babylon Resort Kinyerezi kilikuwa ni kikao cha pili.
Kikao kitakachofuata kitakuwa tarehe 26 Januari 2014.
Shime wadau tushiriki.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment