Wednesday, May 9, 2012

OFISINI LEO JUMATATU

Ofisini jumatatu 07.05.2012
Blogger kafikiwa na wageni wake.
Inshallah wageni wengine hakika hawana hata lepe la aibu.......
Chief Photographer kafika, kaona Camera mpya basi ikampata kazi ya kuanza kutupiga picha ofini mie na ma colleague wenzangu.
Nashukuru maana kupitia hapo nami nimepata kumbukumbu ya Blog yetu, ningepigwa lini picha ofisini mie. Ahsante Chief Photographer

1 comment:

  1. mara moja moja nawe upate nafasi ya kuw ambele ya lenzi ha ha ha ha... kumbu kumbu nzuri

    ReplyDelete