Monday, May 7, 2012

ALMANUSURA ASUBUHI YA LEO

Vingunguti asubuhi ya leo,
Wadada wa skuli wako desparate hawajui usafiri wa shule watapata saa ngapi
Dakika chache baadae, karibu na CFAO Motors Daladala iliyokuwa mbele yetu tukaiona ikiacha barabara taratibu, almanusura iuparamie mti unaoonekana.

2 comments:

  1. Ukiangalia kwa makini, nyuma ya hii Daladala, usawa wa mti huo wa barabarani. Daladala nyingine iliacha njia na kuingia pembeni. Almanusura tuiingie sie tuliokuwa nyuma yake

    ReplyDelete