Saturday, May 12, 2012

BONGO DARISALAMA, WEWE ISIKIE TU!!!!

 Majira ya saa tano asubuhi nje ya ofisi yetu, Kamera ya Blogger inawanasa wanaoijiita Wachungaji wa Kondoo wa Bwana wakimwombea Kijana huyu, pengine kurudisha kondoo zizini
 Wakinena kwa lugha za mitume

 Kijana akiwa na matumaini mapya
Hakika hii ndiyo Bongo DariSalama, mchana kweupe. wanaopita na kushangaa shauri yao.

No comments:

Post a Comment