Saturday, May 12, 2012

MAMACHAIBORA ANAENDELEA KUPATA NAFUU TARATIBU

Panapo nafasi baadhi ya wasamaria wamesaidia kufanikisha mazoezi ya viungo
Minoo amekuwa bega kwa bega kumuuguza Mama
Hatimae sasa mkono umeanza kutumika japo kidogo kwa kusogeza chakula mdomoni,
maendeleo si haba. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote.

1 comment:

  1. Heh kumbe Aunt bado anaumwa! Mie nilidhani kwamba kesha pona kitambo.
    Pole aunt, Mungu akujalie afya njema apone haraka.

    ReplyDelete