Monday, December 12, 2011

SUNDAY - BABY DAY OUT

Hii Sunday Baby Day Out haikuwa imepangwa, Mzee CK alikuwa ameamua kupitisha Jumapili hii huku kwetu Kinyerezi, na baadae jioni waheshimiwa wakasema lazima wampe kampani mpaka Kipunguni. Lakini badala ya Kipunguni home, Breki ikawa KM Garden
BJ akajiunga na Jopo hili, na wakakaa kuweka mikakati
Sisi hatuna hili wala lile...................

Na stori za enzi hizo Nakatuba toka kwa Mzee CK zikikolea............



..........Kumbe waheshimiwa waliamua KM Garden kuwa uwanja wa michezo.............

Siyo lazima kuja na mpira

Kwa riadha huna haja na vifaa

Goooooooo.........................lalalalalala.............................. Michezo ikiendelea...................



Na picha za kumbukumbu zikichukuliwa

Mieleka nayo inahitaji sheria tu, siyo lazima vifaa

Break time, wakati wa kupoza









Kumbe yote haya kwa sababu ya nyama ya Ulimi

2 comments:

  1. Eee bwana ee! Nimecheka mwenyewe hadi raha. Asante kwa kuweka kumbukumbu hizi tena zikiwa na vionjo vya kutosha.

    Natamani ningekuwepo jifaidi pamoja nanyi.

    ReplyDelete
  2. Siku hizi tena imekuwa wimbo kwamba tutaenda lini tena kule kwa Babu na BJ

    ReplyDelete