Friday, December 9, 2011

MDAU MASISI BIRTHDAY ANNIVERSARY


Leo 09 DESEMBA 2011

Mdau SILLA MASISI MWAYAI MSALYA

Leo ni siku yake, anatimiza miaka kadhaa sambamba na Tanganyika

Wadau tulikuwepo mchana huu kumpa kampani Misosi ya nguvu imeandaliwa kuendana na shughuli hii
Mzee CK leo hakujivunga, akajumuika na wadau kusheherekea miaka kadhaa ya mdau

HAPPY BIRTH DAY
OUR MDAU
SILLA MASISI MWAYAI MSALYA

1 comment: