Tuesday, November 22, 2011

MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - TASWIRA KUTOKA MAJITA

Bukima Town, a nice stopover.

Kuna huduma za Magari, vyakula na vinywaji.

Neema,

Mradi wa uchimbaji visima Makojo

Watu wengi walikuwa na hamu ya kuiona teknolojia inayotumika
Mzee Kasereka wa Maande aka Mzee wa Miluzi
View of nyika za masinono from Mabhui

tulipita Saragana, moja ya centre maarufu sana huko Majita Nyamweya na wenzie wakitoka shule
Wakati mwingine tulilazimika kupaki gari letu mbali na sehemu tuliyofikia

1 comment:

  1. uanjua sielewi kwa nini hatutumii visima kuboresha upatikamnaji wa maji kwa kilimo na matumizi mengine. inasikitisha. ila naamini inawezekana kwa bei nafuu bila ya kuwakandamiza wakazi wa eneo husika.
    ni eneo zuri la kuangalia kwa makini.

    ReplyDelete