Monday, November 21, 2011

KIPAIMARA - KEVIN SOSPETER KWESI

Mh Kevin akiwasili kutoka kanisani

Siku maalum kwa Bw Kevin, ni siku ya KIPAIMARA. 20.11.2011
Wapambe, wapiga picha kama kawaida hawakosekani kwenye siku hii..........
Hightable
Wadau Mico, Wahida, CK Jnr na Minoo hawakukosekana
Wazazi na walezi wa kiimani



Paparazi kama kawa................

Na Blogger akivizia

Ni wakati wa Keki

Na mkono wa heri

Kampani ya kutosha kutoka kwa makomredi


Kuserebuka mwanzo mwisho

"Nibebee, ... Nibembeleze nibebe............mikononi mwako niwe salama"

Hakika Kevin akimweleza mlei wake wa kiimani





No comments:

Post a Comment