Saturday, November 19, 2011

Kijembe kwa Blogger: UNAPENDELEA!!

Mr Blogger baada ya kumrusha mdau CK Jnr siku anakwenda kufanya mtihani wa taifa wa darasa la nne amejikuta akipigwa kijembe kuwa anapendelea. Hii ni baada ya wiki baadae Mdau Minoo nae akawa anaenda kufanya mitihani ya kumaliza darasa la kwanza, akidhani atapigwa picha na kurushwa siku hiyo, kumbe sivyo.

Kwa hali hiyo imenilazimu kutafuta fedha za kupigia picha hizi siku anarudi kutoka kwenye papers ili zirushwe.
HONGERA SANA MDAU

Safari bado ndefu

No comments:

Post a Comment