Tuesday, November 22, 2011

MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - BUNDA

Kutoka majita kurudi Nakatuba, tukapata nafasi ya kupitia Bunda kuwaona ndugu na jamaa walioko hapa. Familia ya Mzee Mwayai makazi yao kwa sasa ni hapa Bunda pamoja na ndugu wengineo wengi. Hapa tunapata nafasi ya kuonana na watu adimu.

Mr Maseme tulionana mara ya mwisho kule Nakatuba wakati huo hata shule alikuwa hajaanza.

Lakini leo naambiwa ni mtaalamu mkubwa wa kilaji............, tena kile cha mwitu

Kabhajiro hatukuonana, lakini wanae tulikuwa nao hapa kwa Mzee Mwayai wakiwa na Bibi yao.
Mheshimiwa mwingine ni photocopy kabisa ya Jackson
Mtaalamu Maseme

Chuma, Mzee Mwayai


Mzee Mwayai

No comments:

Post a Comment