Tuesday, August 30, 2011

MDAU SARAH ANAKAMILISHA KUMI JINGINE 02 SEPT 2011

Wahenga wanasema, "ukiona nyani mzee, uelewe kakwepa mishale mingi"
Mdau Sarah, katika sikukuu hii ya Idd, anaunganisha na siku yake mahususi.
Siku ya mdau ni
02 SEPTEMBER
Na siku hii mdau anafunga Kumi lingine lililo kamili
Na mpaka kufikia hapa,
Hakika MDAU UMETOKA MBALI, na unastahili pongezi zote.

HAPPY BIRTHDAY

Sarai Bora Msalya Maseke

PICHA TOKA KWA MDAU WA MTWARA

Picha za wageni wetu toka sister town ya Redditch, UK, waliotutembelea August 2011 Mtwara, mimi ni katibu wa asasi inayoshughulika na mahusiano hayo iitwayo Mtwara One World Link, kwa kifupi MOWL.
cheers






Wednesday, August 17, 2011

UNAWEZA KUFUNGA TAI ???

One day during our lunch hour with collegeous we have discussions on wearing a tie.
Mimi navaa tai mara kwa mara,
inaelekea tai inaongeza kidogo hadhi ya vazi kama imevaliwa sawasawa kulingana na kanuni zake.
Lakini kwa nini wengi hawataki.hawafungi tai?
Siku hiyo wengi iliwakumbusha mbali.
Kuna anaekumbuka mara ngapi amekwisha vaa tai.
Alikuweko ambae tai yake huwa haifunguliwi hata wakati wa kufua
kulikuwa na hoja nyingi kadha wa kadha
za kuchekesha na kufurahisha kuhusu ufungaji wa tai...
Kumbe tatizo la wengi kutokuvaa tai ni namna ya kuifunga.
Kwa hali hiyo wanaoweza kufunga walitoa "DEMO" siku hiyo
Na wewe waweza kujaribu kwa kuangalia video hii hapa chini




USAFIRI BADO ADHA KWA WANAFUNZI DAR

nimeikuta hali ya kutisha ya adha ya usafiri kwa wanafunzi wa Dar pale vingunguti asubuhi hii.


Nikawa tu najiuliza kama hali ni hivo kwa wanaoelekea nje ya mji, yaani uelekeo wa Gongo la Mboto, hali ni vipi kwa wale wanaoelekea mjini????????



Kwa inji hii bado tunayo safari ndefu............

MGENI TOKA NAKATUBA

Jana nilimpokea mgeni kutoka Nakatuba, Mheshimiwa Jamhuri Mareka a.k.a MARADONA

alikumbuka sana kampani ya swahiba wake, enzi hizo huko Nakatuba

Ni maarufu kwa wadau kwetu Kinyerezi

Lakini mpaka anaondoka leo asubuhi nimebakia na Tafakuri nyingi kichwani.




  • Mbona Maradona amezeeka kivile,


  • Kuna siri gani kila niendapo Nakatuba, hata vijana wadogo huwakuta wamezeeka


  • Mpango wangu wa kuhamia Nakatuba 2020 itakuwaje sasa.............

Wednesday, August 10, 2011

LEO BONGO TAMBARARE

Leo ilikuwa Bongo tambarare vituo vya Daladala, nikiwa nimewahi mapema baada ya kuwa nimekosa wese jana nilianza kukaribishwa na mikusanyiko isiyokuwa ya kawaida vituoni.

Daladala zikigombewa vilivyo vituoni

Hata zilizosimama zilikuwa "nyomi" si mchezo

Vituoni ndiyo usiseme...............

Vituo vya mafuta vikiwa tupu

Tuesday, August 9, 2011

BIRTHDAY YA MDAU PENINA 09.08.2011

mdau
I remember this is a day i quited smoking last year 09.08.2010
Happy Birthday For making it real


JK power is not available,

means nyingine za photo zinabidi kutumika kupata kumbukumbu

reflectors, mchinas tochi at least.....................

mdau with Mom and Dad this night



Friday, August 5, 2011

MTWARA ROTARY ACTIVITIES

Some of the pictures taken during fund raising as well as toys handling to Ligula Hospital.