Wednesday, August 17, 2011

MGENI TOKA NAKATUBA

Jana nilimpokea mgeni kutoka Nakatuba, Mheshimiwa Jamhuri Mareka a.k.a MARADONA

alikumbuka sana kampani ya swahiba wake, enzi hizo huko Nakatuba

Ni maarufu kwa wadau kwetu Kinyerezi

Lakini mpaka anaondoka leo asubuhi nimebakia na Tafakuri nyingi kichwani.




  • Mbona Maradona amezeeka kivile,


  • Kuna siri gani kila niendapo Nakatuba, hata vijana wadogo huwakuta wamezeeka


  • Mpango wangu wa kuhamia Nakatuba 2020 itakuwaje sasa.............

1 comment:

  1. Ha ha ha ha ! Ningumu kujua majibu sahihi ya maswali haya, ila nadhani ugumu wa maisha unachangia sehemu kubwa.

    Inabidi ifanyike juhudi ya ziada kuboresha uchumi wa wana Nakatubha kabla 2020 haijafika. La sivyo, utakuwa muhathirika wa hali hiyo kama wao.

    Tufanye juhudi za kimakusudi kuikimboa jamii hii. Mie niko tayari, nahitaji msaada maana umoja ni nguvu!

    ReplyDelete