Wednesday, August 10, 2011

LEO BONGO TAMBARARE

Leo ilikuwa Bongo tambarare vituo vya Daladala, nikiwa nimewahi mapema baada ya kuwa nimekosa wese jana nilianza kukaribishwa na mikusanyiko isiyokuwa ya kawaida vituoni.

Daladala zikigombewa vilivyo vituoni

Hata zilizosimama zilikuwa "nyomi" si mchezo

Vituoni ndiyo usiseme...............

Vituo vya mafuta vikiwa tupu

1 comment:

  1. kwa stail hii inabidi twende makazini kwa kutumia baiskeli. Angalao hii haihitaji mafuta. Turudie enzi ..

    ReplyDelete