Tuesday, August 30, 2011

MDAU SARAH ANAKAMILISHA KUMI JINGINE 02 SEPT 2011

Wahenga wanasema, "ukiona nyani mzee, uelewe kakwepa mishale mingi"
Mdau Sarah, katika sikukuu hii ya Idd, anaunganisha na siku yake mahususi.
Siku ya mdau ni
02 SEPTEMBER
Na siku hii mdau anafunga Kumi lingine lililo kamili
Na mpaka kufikia hapa,
Hakika MDAU UMETOKA MBALI, na unastahili pongezi zote.

HAPPY BIRTHDAY

Sarai Bora Msalya Maseke

3 comments:

  1. Hongera Aunt kwa kujaliwa miaka hii. Mungu akujalie mingine mingi, apmoja na hekima tele na baraka za kila siku.

    Happy happy birthday to you!

    with much Love,

    ReplyDelete
  2. Happy Birth day Mama Karen, sina shaka kesho Nyakwesi ataangusha pilau la yule jogoo kule bandani. Usisahau kuwatupia mbwa wako chakula kama kitabakia. Shalom atakusaidia kuzima mshumaa.

    Thanks.

    Uncle yule mtoto katikati ya mwanasheria na mama Nyamwea ni nani?

    ReplyDelete
  3. Rebeca Nyamweya Bright Msalya
    Picture likely taken in mid nineties

    ReplyDelete