Wednesday, June 29, 2011

KIKAO CHA NANE CHAAHIRISHWA

Kikao cha Wana ndugu cha Mwezi wa sita kilipangwa kuwa tarehe 26.06.2011, nyumbani kwa Jackson Kaigi huku kwetu Kinyerezi. Wajumbe wengine wakawahi kama kawaida


Na hata wajumbe waalikwa wakawa wamefika siku hii kuhudhuria kikao hiki

Wenyeji wakitazama huko na huko kukaribisha wajumbe............

lakini kumbe kisicho riziki hakiliki

Hakuna wajumbe walioongezeka, column haikutimia.


Mwenyekiti hakuwa na kazi zaidi ya kuaahirisha kikao hadi mwezi ujao

tarehe 31.07.2011

na kwa taratibu tutatakiwa kurudi hapa hapa Kinyerezi kwa wenyeji wetu Happinness na Jackson Kaigi Marogo

Friday, June 24, 2011

113 DAYS EXPERIENCE OF Cpl MSALYA AT KIWIRA (Part 2)

Mdau Msalya, a.k.a. Tall a.k.a. Afande kimekuwa karibuni kikimwangazia.

Baada ya kuanza kazi na kupangiwa kituo, gereza la Geita mjini, miezi minane baadae kikamwangazia akaitwa kozi, siku 113 ndani ya bakuri la Kiwira kuanzia tarehe 27 Februari hadi 19 June 2011Pwani wanasema

"Mwanangu, kulonda kazi ya Jeshi, ugangamale"

Mdau aligangamala vilivyo kwani hatimae ameibuka na U - COPLO

Mdau Chief Blogger, hakucheza mbali.

akawa wa mwanzo mwanzo kumpokea na kumpongeza pale KM Garden

Special transport by HOOD
Pass out cerebrations

Kuna raha yake kumaliza kozi ya Geshi, asikwambie mtu

Parade ground

Pass out Parade

Shoto, kulia


Macho mbele

Heshimaaaaaaaaaaaaaaa, TOA

Coplo Tall
with comrades baada ya kazi ngumu

on guard
ndani ya HANGA
Jongo time
kona uraiani

TUMETOKA MBALI...........

Shoto: Mama Chai, Tall na CK jnr Kinyerezi 2002

Kulia: Mama Chai Ubungo 1991

Dabco, Dar Es Salaam

wakati huu TV..., usiombe

this was in likely in 1995. me and Penina

Mdau wa Mtwara, enzi hizo akiwa Netherland


Data zinasema picha ilipigwa na Guo Wei wa China.
Sitting: Mdau -Tz, Chart - Thailand, Li - China, B Hansen - Denmark


Standing: Manugwa - Tz, Filipovic - Yugoslavia, Mesfin - Ethiopia, Boonrack - Thailand, J Hansen - Denmark, Sudjon - Indonesia
Picha ya juu, msosi time, Ubungo darajani.
in photo: Mama Chai, Salama, Hse Girl lakini simkumbuki, Penina na alikuwepo Baruku
Picha ya chini Msosi time Nakatuba, hapa ni ndani ya baruku's House
in photo ni Bonn, Makubhi, Gerald?, CK Snr, CK jnr na Manyori
Picha ya juu, ilivyokuwa familia wakati huo tukikaa pembezoni zilipo sasa Hosteli za Chuo kikuu UDSM, Mabibo.
Na picha ya chini during our vacation.
nakumbuka trip ilikuwa
Nakatuba - Bulinga - Mabhui Merafuru - Bwai, Chanyauru - Bunda - Kibara - Nakatuba
Mdau Sarah, now Mama Karen
Enzi hizo akiwa Bwiru, picha ya shoto nilipiga siku moja asubuhi nilipuzuka Bwiru kumpa mdau Hi, nakumbuka nilikuwa safarini either to/from Ushirika Moshi
Picha ya kulia ni kutoka maktaba yetu

113 DAYS EXPERIENCE OF Cpl MSALYA AT KIWIRA (Part 1)






Mandhari ya bakuri la Kiwira



view of Domitories
uvumilivu, uaminifu, ukakamavu...........bila kusahau maombi
Dinner

kachumbari time

Bweni la wanaume



daraja la Mungu


utalii wa ndani





from fatiki

Thursday, June 16, 2011

KIKAO CHA SABA KILIKUWA KITUNDA

Kikao chetu cha saba cha ndugu, tarehe 29.05.2011 kilikuwa Kitunda, Tsunami

Na huko wenyeji wetu walikuwa ni Bw na Bi Kulwa na Beria Malembo

Ankal Joshua akiwepo mstari wa mbele kutupokea

Na kutualika sehemu ya kufanyia kikao
Lakini wajumbe wakapendelea kufanyia kwenye "open air'





Wageni wengine wakipata VIP treatment




Kilimalizika kwa umakini mkubwa, na kupisha kikao kingine kijacho ambacho kitakuwa Kinyerezi kwa mwaliko wa Bw na Bi Jack na Happy Kaigi Marogo kunako tarehe

26 Juni 2011

Wanandugu wote tuonane huko.