Friday, June 24, 2011

113 DAYS EXPERIENCE OF Cpl MSALYA AT KIWIRA (Part 2)

Mdau Msalya, a.k.a. Tall a.k.a. Afande kimekuwa karibuni kikimwangazia.

Baada ya kuanza kazi na kupangiwa kituo, gereza la Geita mjini, miezi minane baadae kikamwangazia akaitwa kozi, siku 113 ndani ya bakuri la Kiwira kuanzia tarehe 27 Februari hadi 19 June 2011Pwani wanasema

"Mwanangu, kulonda kazi ya Jeshi, ugangamale"

Mdau aligangamala vilivyo kwani hatimae ameibuka na U - COPLO

Mdau Chief Blogger, hakucheza mbali.

akawa wa mwanzo mwanzo kumpokea na kumpongeza pale KM Garden

Special transport by HOOD
Pass out cerebrations

Kuna raha yake kumaliza kozi ya Geshi, asikwambie mtu

Parade ground

Pass out Parade

Shoto, kulia


Macho mbele

Heshimaaaaaaaaaaaaaaa, TOA

Coplo Tall
with comrades baada ya kazi ngumu

on guard
ndani ya HANGA
Jongo time
kona uraiani

2 comments:

  1. Hungera sana Coplo Tall! Hayawi hayawi mwisho huwa!
    Ubarikiwe daima

    ReplyDelete
  2. Eddy & Bj
    Hongera sana Coplo Tall, kwa hakika umeonyesha ujasili mkubwa,nadhani kwa picha hizi na ukakamavu wako,sasa umefungua njia kwa Msalya's familly kuingia kwa geshi kulinda Taifa na kuleta heshima pia. Tunakutakia kila heri,kozi hii iwe mwanzo wa kozi zingine.

    BigUp Sana mwanaaaaaaaaaa

    ReplyDelete