Wednesday, June 29, 2011

KIKAO CHA NANE CHAAHIRISHWA

Kikao cha Wana ndugu cha Mwezi wa sita kilipangwa kuwa tarehe 26.06.2011, nyumbani kwa Jackson Kaigi huku kwetu Kinyerezi. Wajumbe wengine wakawahi kama kawaida


Na hata wajumbe waalikwa wakawa wamefika siku hii kuhudhuria kikao hiki

Wenyeji wakitazama huko na huko kukaribisha wajumbe............

lakini kumbe kisicho riziki hakiliki

Hakuna wajumbe walioongezeka, column haikutimia.


Mwenyekiti hakuwa na kazi zaidi ya kuaahirisha kikao hadi mwezi ujao

tarehe 31.07.2011

na kwa taratibu tutatakiwa kurudi hapa hapa Kinyerezi kwa wenyeji wetu Happinness na Jackson Kaigi Marogo

1 comment:

  1. Hello M/kiti!!!!
    Nimekupata na poleni sana kwa kuhahirishwa kikao. Lakini iko haja ya kuendelea na vikao vyetu pale wajumbe wanapopatikana,wajumbe 6 ni wengi.
    Any way napenda niwatie Moyo wajumbe wote kufika katika kikao kinachofuatia. Vikao hivi ni mhimu sana kwetu na kwa USTAWI wa familia zetu na vizazi vijavyo.
    Karibu sana sana kikao cha nane kule kinyerezi kwa Jackison Kaigi,Kinyerezi
    Katibu.

    ReplyDelete