Thursday, June 16, 2011

KIKAO CHA SABA KILIKUWA KITUNDA

Kikao chetu cha saba cha ndugu, tarehe 29.05.2011 kilikuwa Kitunda, Tsunami

Na huko wenyeji wetu walikuwa ni Bw na Bi Kulwa na Beria Malembo

Ankal Joshua akiwepo mstari wa mbele kutupokea

Na kutualika sehemu ya kufanyia kikao
Lakini wajumbe wakapendelea kufanyia kwenye "open air'





Wageni wengine wakipata VIP treatment




Kilimalizika kwa umakini mkubwa, na kupisha kikao kingine kijacho ambacho kitakuwa Kinyerezi kwa mwaliko wa Bw na Bi Jack na Happy Kaigi Marogo kunako tarehe

26 Juni 2011

Wanandugu wote tuonane huko.

No comments:

Post a Comment