Tuesday, May 10, 2011

TASWIRA KUTOKA BWASI

Nilipata bahati ya kupata taswira hizi kutoka kwa wana FORUM wanaojipanga kuiendeleza majita
madhari ni nzuri yenye kutia matumaini

Naam, unazikumbuka amri kumi za Mungu!!


wanaoufahamu mtu huu unaitwa "NYABHIGANJA" kumbukumbu ya kihistoria wakati wa utawala wa Wajerumani.


Kanisa la Sabato


Madhari nzuri hata kwa uwekezaji

2 comments:

  1. Ahsante chief blogger kwa picha hizi.
    Umenikumbusha mwaka 1995 nikiwa Bwasi,
    Kilima kinachoonekana nimekisahau jina, lakini pembezoni mwake ni makazi ya familia ya "Omukama Majinge"
    Hii mandhari nzuri kama beach kama sikosei i bondeni "murutanga" kuelekea Chimati au "Ebhutimba"

    ReplyDelete
  2. Eddy!!!!!
    Kwa hakika chief blogger,unaufaa sana ktk kipindi hiki,picha hizi zinanikumbusha mwka 1993 nilipohudhuria mahafali ya Dr Gorge,wakati anamaliza form4. Lakini mwaka 1995 mwishoni nilipita Bwasi wakati huo mdau Sarah ni mwl pale!!

    ReplyDelete