Tuesday, May 10, 2011

BJ VISIT

Usiombe kupata ugeni nilioupata ofisini siku ya 30.04.2011

B Junior a.k.a. Babu a.k.a. Dada alinitembelea ofisini akiwa njiani kwenda kanisani Mzizima.

Lakini ajabu yenyewe, mgeni huyu hakutaka hata kushuka ndani ya gari iliyomleta
Sikuelewa kama "KUJIGOSHA" kupo mpaka maofisi

2 comments:

  1. MAPOZI HAYO1
    SIJUI KAMA ULISAHAU,
    ULITAKIWA KUMWAMBIA "SINA ALI MUCHIBHUGA",
    TARATIBU UNGEMUONA AKISHUKA GARINI.
    HIYO NDIO MILA YA WAJITA NA WENZAO WAKEREWE NA HATA WARURI NAFIKIRIIF AM NOT MISTAKEN.

    ReplyDelete
  2. Eddy...

    Bjunior,alijua niko kwa kaka Magoti,yule mkorofi wa kuwafukuza wenzie na fimbo.Alipokumbuka hilo tu,akagoma kushuka.Ila anakumbuka kuwa alikwenda ofisini kwa Babu akampiga picha.

    ReplyDelete