Tuesday, May 10, 2011

MDAU's DAY PRICILLA



Mdau PRICILLA a.k.a. JAPANESE majuzi

23.05.2011

ilikuwa siku yake ya kuzaliwa.

alikuwa akifunga mwaka wa tatu.

HAPPY BIRTHDAY PRICILLA

Mjini Morogoro Mdau aliandaliwa pati la nguvu.

Kwa yaliyojili katika pati hilo.

endelea kuangalia hapa

1 comment:

  1. Eddy...

    Kutoka Kipunguni, Happy Birthday Pricilla.

    Tunasubiri sana kuona yaliyojiri katika part hiyo. Hata hivyo Baba Mdogo na Bj tunaomba radhi kwa kushindwa kufika,wakati tulikuwa na mwaliko wa nguvu.

    Tunakutakia kila heri na baraka tele,ukizidi kukua katika hekima na kimo ktk BWANA.

    ReplyDelete