Tuesday, May 10, 2011

KANISANI KINYEREZI 23.04.2011

Nilipata nafasi ya kuweko kanisani siku ya Jumamosi, wakati wa sikukuu ya pasaka

Bw. Joel Joshua Kaitira aliongoza idara ya huduma




Kwaya nayo ikahudumu
Mwinjilisiti kutoka mtaa wa Kurasini akatulisha neno la uzima siku hiyo.

Msisitizo ukiwa

KUHIMIZA USOMAJI WA VITABU



1 comment:

  1. Eddy!!!
    Hongera kwa kupata fursa ya kuhudhuria Ibada. Jaribu tena. Be blessed

    ReplyDelete