Friday, April 8, 2011

SUNDAY ROUND UP






























































































































































Baada ya kurudi Bagamoyo,

Jumapili hii kukawa na Round up ya Dar.
Breki ya kwanza ikawa Kipunguni,
Tukamkuta mdau BJ na brekifasti ya Matunda.
Anajulikana sana huyu kwa kutomaliza share yake, lakini kwa brekifasti ya siku hii, sahani ilibakia tupu ingawa pia ilichukua muda mrefu.
From there route ikaanzia Kwa Dr Ndodi kwa ajili ya Kikombe cha bure kwa ajili ya Mzee CK
Ikafuatia Kurasini kwa Mr Hatari
Juice, maji, matunda na lanchi yetu ikawa hapa
Na baadae stori za hapa na pale
Kutoka hapo, safari ikahamia Mbagala
Huko wadau wakavutiwa na taswira hii ya aina mojawapo ya Viazi, kama viazi vikuu hivi............
Lakini jina halisi likatupotea
Stop Over George Bush, Mbagala Sabasaba
ambapo tulikuwa joined na Mdau Magwe Nyambalya
Na jioni ikamalizikia
KM Garden, Ukonga Magereza
Na kampani ya Mr Eliud

No comments:

Post a Comment