Tuesday, April 12, 2011

Mzee CK VISIT TO DELMONTE OFFICES








Mzee CK amepata lift ya Bw Silla leo kwenda mjini City Centre








Na akaitumia nafasi hiyo kupitia hapa ofisini kwetu.


Vioo vimesaidia, maana na mpiga picha kaingia kwenye picha


No comments:

Post a Comment