Tuesday, April 12, 2011

KERO YA FOLENI DAR


Jana kero ya foleni ilinianzia asubuhi.

Mtava nililazimika kukaa foleni zaidi ya dk 40





Jioni wakati wa kutoka nikakutana na hali ile ile, nikifikiria jioni hii sina usafiri.


Lililobaki nikaona bora kwenda kwa mafungu.

By foot Msimbazi Bomani

Daladala Bomani Buguruni,

then by foot tena Buguruni sokoni hadi Tazara



From there ndio nikafanikiwa kupata

Daladala Tazara Banana













............Inakera..............

No comments:

Post a Comment