Friday, April 15, 2011
LEO 15 APRIL NI SIKU YA WADAU BJ NA ELIUD
"Now is THREE yrs, Hali ya hewa Dar leo inafanana na ile ya tarehe 15/04/2008..... siku ambayo Mungu wetu, mwingi wa huruma na Upendo aliruhusu na kutubarikia kwa mtoto BJ"
"15/04/2008 saa 2.45 Mitaa ya Sinza, MICO Hospital, Dr Mnyau akiwaongoza Ma Dr na Manesi, na kwa huruma na Upendo wa Mungu, mtoto Belly Junior anazaliwa na Mama yake Mpenzi Tabitha chini ya uangalizi wa Belly K Msalya (Belly Senior), Na Mdau Eddy ndani ya Leba na pia Mdau Eliud"
Belly jnr & Belly snr
Tuesday, April 12, 2011
KERO YA FOLENI DAR
Mzee CK VISIT TO DELMONTE OFFICES
Friday, April 8, 2011
SUNDAY ROUND UP
Baada ya kurudi Bagamoyo,
Jumapili hii kukawa na Round up ya Dar.
Breki ya kwanza ikawa Kipunguni,
Tukamkuta mdau BJ na brekifasti ya Matunda.
Anajulikana sana huyu kwa kutomaliza share yake, lakini kwa brekifasti ya siku hii, sahani ilibakia tupu ingawa pia ilichukua muda mrefu.
From there route ikaanzia Kwa Dr Ndodi kwa ajili ya Kikombe cha bure kwa ajili ya Mzee CK
Ikafuatia Kurasini kwa Mr Hatari
Juice, maji, matunda na lanchi yetu ikawa hapa
Na baadae stori za hapa na pale
Kutoka hapo, safari ikahamia Mbagala
Huko wadau wakavutiwa na taswira hii ya aina mojawapo ya Viazi, kama viazi vikuu hivi............
Lakini jina halisi likatupotea
Stop Over George Bush, Mbagala Sabasaba
ambapo tulikuwa joined na Mdau Magwe Nyambalya
Na jioni ikamalizikia
KM Garden, Ukonga Magereza
Na kampani ya Mr Eliud