Wednesday, November 3, 2010

TASWIRA ZA UCHAGUZI KINYEREZI

Na hizi nilizinasa katika pita pita yangu hukuhuku kwetu.
Mlingoti mmoja kwa Bendera za wagombea wote.

Nilifanikiwa kuhudhuria ufunguzi wa Kampeni za udiwani kwa Kata ya kwetu Kinyerezi.
Bahati mbaya sikusikia sera zozote zenye kutia matumaini.

1 comment:

  1. Nadhani wakati umefika wa kila mmoja wetu kufanya maamuzi ya jinsi ya kujiinua kiuchumi ili tuondokane na umaskini wa vitega uchumi.
    Naamini iwapo kila mtu atafanya sehemu yake ya wajibu tutafanikiwa.
    Viongozi watakuwa na jukumu la kuwaleta pamoja kila mwananchi katika kutekeleza wajibu wake. Wataongoza kufikia malengo ya kikundi kile. Vinginevyo naamini wengi wetu tutazidi kutitia katika wimbi la umaskini ili hali wachache wananeemeka.
    Ni mtazamo tu!

    ReplyDelete