Tuesday, November 9, 2010

BIRTHDAY YA MDAU - LILIAN


Katika pekua pekua yangu, nimekuta Mdau wetu wa Kagoshima keshokutwa anatimiza umri wa miaka kadhaa................................

TUMPE HONGERA ZAKE


Naamini ndugu zetu hawa watatuwakilisha kukuimbia

HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR LILIAN


5 comments:

  1. hongera Lili.

    happy birthday to you.

    ReplyDelete
  2. Bahati nzuri na mimi nikiwa hapa sebuleni kwao hapa Moro nikitumia haka moderm kangu nimempata online nikampa hongera zake, lakini siyo mbaya nikisema tena "Happy BirthDay Lily"
    "Ukule mambugu mbugu", wadau mnaikumbuka kauli hiyo?

    ReplyDelete
  3. Kauli nimeikumbuka aunt!
    Naungana nawe katika hilo!

    ReplyDelete
  4. Tupeni kidogo tusioikumbuka

    ReplyDelete
  5. .........o i c, naikumbuka sasa,
    Hakika miaka mingi imepita toka nilipokuwa nikiisikia ikitumika.......
    Hasa pale wakati wa kwenda kuviangalia vichanga vilivyozaliwa

    ReplyDelete