Wednesday, November 3, 2010

ADHA YA FOLENI ZA DAR






Juzi kati nikafanikiwa kupata taswira hizi za Foleni za Dar Salaam, hizi nilipata katika route ya Kinyerezi hadi Msimbazi mission Centre. Inakera umbali wa chini ya km 10 inakulazimu kutumia muda kati ya saa 1 hadi moja na nusu.

1 comment:

  1. Hii ya mlingoti wa bendera nimeipenda,
    Ujue mi nilifikiri jani la mgomba!

    ReplyDelete