Mipango ya malazi ya mwisho ya Mdau Josia Mwayai Msalya, yakiendelea. Ni pale nyumbani kwetu Kinyerezi, Ukonga, Ilala Dar Es Salaam
Mipango ya malazi ya mwisho ya Mdau Josia Mwayai Msalya, yakiendelea. Ni pale nyumbani kwetu Kinyerezi, Ukonga, Ilala Dar Es Salaam
PUMZIKA KAKA, tutaonana asubuhi njema Bwana Yesu atakapowaita wote waliolala waungane na walio hai kumlaki atakapotekea mawinguni. Hata baada ya kifo kuna matumaini. Yeye (Yesu) ndiye njia na ufufuo na uzima, AMEN.
ReplyDeletePOLENI Msalya wote.