Wednesday, October 20, 2010

KALALE PEMA MDAU, KAMANDA JOSIA MSALYA


Mipango ya malazi ya mwisho ya Mdau Josia Mwayai Msalya, yakiendelea. Ni pale nyumbani kwetu Kinyerezi, Ukonga, Ilala Dar Es Salaam

Wadau, washiriki na viongozi wa kanisa la SDA Ubungo Hill walijumuika, na kutoa neno

Kwaya ya SDA Ubungo Hill, ilitoa ujumbe wa kututaka kujiandaa wakati wote kabla ya safari

Wazee wa Kanisa walitoa hekima zao katika kumtukuza Mungu

Wasifu wa Mdau ukawekwa bayana,

Mchamungu, mwenye msimamo na aliyekuwa tayari kusimamia lile analoliamini.

KWAHERI MDAU JOSIA

........Malembo...............

...........Aznati...............

Kwaheri Baba, kamsalimie Mama....







Ulitoka kwenye Udongo, utarudi kwenye udongo

1 comment:

  1. PUMZIKA KAKA, tutaonana asubuhi njema Bwana Yesu atakapowaita wote waliolala waungane na walio hai kumlaki atakapotekea mawinguni. Hata baada ya kifo kuna matumaini. Yeye (Yesu) ndiye njia na ufufuo na uzima, AMEN.

    POLENI Msalya wote.

    ReplyDelete