Friday, October 15, 2010

ENZI ZILE ZA MDAU WA MTWARA


Juzi Mudau wa Mtwara katika kufanya fanya usafi kwenye Library yake kakumbana na Photo moja maridadi sana ya enzi hizo. Katika kukumbuka kumbuka ikaonekana imepigwa before nineties, wakati huo mdau alikuwa akijiandaa kukwea pipa kwa safari ya masomo huko The Netherland. Tunakupongeza mdau kwa utunzaji huo wa kumbukumbu ya enzi hizo.

Naamini utatupa na maelezo zaidi kuhusiana na picha hii.
ilipopigwa, wadau pichani, waliko sasa na dodoso nyingine kama zipo.........

Wadau wote zile picha za Mzee Ck zilizokuweko kule nakatuba ziko wapi???????????
alipenda sana kupiga picha na familia. Mwenye kuwa nazo tunamkaribisha azirushe kwenye blog.

3 comments:

  1. Nashawishika kukubaliana na usemi kuwa hakuna mtu mwembamba!

    ReplyDelete
  2. Ama kweli, maana jamaa hapa ni super slim fit,
    na ukilinganisha na alivyo leo.....
    mmh................................
    hakuna mwembamba kweli

    ReplyDelete
  3. Ni kuku hao, ndo maana jamaa kaongezeka sana. Lakini hapa lawyer ndo alikuwa sawasawa. Inabidi upungue urudi huko.

    George

    ReplyDelete