Monday, September 27, 2010

TANZIA - JOSIA MWAYAI MSALYA 1971 TO 26.09.2010

Josia Mwayai Msalya
1971 to 26.09.2010

Mpendwa wetu amefariki jana majira ya saa nane na robo nyumbani Kinyerezi, Dar Es Salaam.

Tunataraji Mazishi yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 28 September 2010 majira ya saa kumi alasiri makaburi ya Kinyerezi Dar Es Salaam.

Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe.

AMINA


1 comment:

  1. Yeah, it was a grieving moment.
    Hakuna ajuaye aliongea nini na Mungu
    wake katika dakika za mwisho wa uhai wake.
    Lakini kwa imani tunaisubiri wote asubuhi njema,
    Asubuhi isiyokuwa na machozi tena,
    Natamani kuwepo asubuhi hiyo!
    Tumwombe Mungu sote tuwepo!

    ReplyDelete