Friday, September 24, 2010

HAPPY BIRTHDAY MDAU EDDY

MDAU HUYU ALIZALIWA TAREHE 20 SEPTEMBER 19........, SAA 9.30 ALASIRI HUKO KISORYA BUNDA.
Makala na mitandao mbalimbali imekuwa ikionesha tarehe tofauti tofauti za kuzaliwa mdau.
Blog imefuatilia na kupata uhakika wa tarehe
Na mdau alipobanwa na Blog, alikiri kunyuti........................

HATUJACHELEWA SANA KUMPA STAHILI YAKE!!!!!!!!!
Chief Photographer wa Msalya Blog

HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR MNYAGA EDDYSON
HAPPY BIRTHDAY TO UUUUUUUUUUUUUUUU

5 comments:

  1. Hongera sana mdau,
    ndiyo sasa imefikia mingapi?
    Hado hado Mola akujalie Makumi kwa makumi
    mengine kusudi uendele kumtukuza.

    ReplyDelete
  2. Hongera mdau kwa kufikisha miaka 34 ya kuzaliwa. Bro na familia wanakutakia kila la heri katika yote uyafanyayo. Mungu akujalie afya njema na maisha yenye furaha.

    Brother George and Family

    ReplyDelete
  3. hongera sana , kula nchi, life starts at sixty.
    the sky should be the limit of development

    bright

    ReplyDelete
  4. Duh, mi ndio wa mwisho nini!
    Lakini bado sitaki kumkosea heshima
    chief photographer wa blog hii.
    Happy Birthday! Ukiishi mpaka 120 siyo mbaya,
    Manake hiyo ndiyo miaka ya Musa,
    na macho yake hayakupoteza uwezo wake!

    ReplyDelete
  5. itabidi atafute birth certificate

    ReplyDelete