Total Pageviews

Tuesday, December 27, 2011

LEO NI BIRTHDAY YA MDAU KAIGI Jnr

Tunaendelea na mfululizo wa Birthdays za wadau katika musimu huu wa sikukuu ya Christmas na mwaka mpya,

Na leo ni Birthday ingine mdau akitimiza miaka TISA

leo tarehe 27 DESEMBA 2011

Ni mdau

KAIGI JACKSON KAIGI

aka

KAIGI Jnr

aka

SHIKI

HAPPY BIRTHDAY ANNIVERSARY OUR DEAR
KAIGI, Kaigi
Jackson

X-MAS NA BIRTHDAY YA MDAU NYANG'OKO

Juzi tarehe 25 DESEMBA 2011

ilikuwa ni sikukuu ya CHRISTMAS

Nikiwa nimejisahau, nikapata simu kutoka kwa mdau

all the way from Sunsi, Kisorya Bunda.

akaniomba nimwimbie HAPPY BIRTHDAY

Nilitahayari sana, maana hata kwenye Roaster yangu hakuwepo

Siku hiyo juzi pia ilikuwa BIRTHDAY ANNIVERSARY YA MDAU

NYANG'OKO EMMANUELLA BAHATI K MSALYA

aka

Mrs MAFUNI

Miaka kadhaa iliyopita alizaliwa pale Hospitali ya Mission ya Kibara

Nyang'oko (right)
Mr Mafuni (right)
Nilimuahidi mdau kuwa leo lazima nimrushe,

Na wadau wote hatujachelewa kumuimbia
HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR
EMMANUELLA BAHATI NYANG'OKO

Tuesday, December 20, 2011

LEO NI BIRTHDAY YA WADAU NOEL CK BILLY NA BETTER ROBA

Kinyerezi, Dar Es Salaam

Mdau NOEL CK BILLY

Leo ni Birthday yake ya miaka KUMI

Nimetaarifiwa mchana huu huko Kinyerezi kuna Mnuso wa Nguvu.

Nakatuba, Kibara Bunda


Mdau BETTER ROBA MANYAMA


Nae pia ni birthday yake ya mwaka wa KUMI HAPPY BIRTHDAY WADAU


CK & BETTER

MVUA KUBWA DAR

Dar pamoja na vitongoji vya jirani leo usiku kumekuwa na mvua nyingi iliyoandamana na radi.
Kama kawaida ya mji wetu usiopangiliwa, mafuriko yameripotiwa sehemu mbali za jiji.
Binafsi nimeshuhudia mto msimbazi, Daraja la Kinyerezi ukiwa na maji mengi kwa mara ya kwanza mwaka huu. Nimepitia Mbozi Road nikakumbana na mafuriko makubwa pale karibu na Konyagi
Mabibo Relini palifurika pia leo, Kwa Mtogole ndiyo usiseme, daraja hakuna tena.
Picha za Mabibo Relini zilizochukuliwa na mdau wa Blog mapema asubuhi wakati mvua nyingi zikiendelea zikionesha magari yaliyokuwa yamesukumwa na maji pembeni kabisa

Monday, December 19, 2011

KUTOKA KATIKA ALBUM YA JOSIA SIKU YA 450

Siku maalum
Ubungo Hill

With family

Ubungo Dar Es Salaam Bunda

Ubungo

Ubungo Lumo

Ismail, Penina, JM Sila,Tito

1992, Ubungo Dar Es Salaam

MDAU'S BIRTHDAY - SARAH BILLY K MSALYA

Mdau

SARAH BILLY K MSALYA


Mdau leo ni siku yake

anatimiza miaka kadhaa leo


HAPPY BIRTH DAY

Dear SARAH

Thursday, December 15, 2011

MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - FINAL LAP

Final Lap ya vacation yangu inaanza Jumatatu 24/10 Alfajiri Mwanza. Tofauti na wakati wa safari ya kuja Nakatuba, On wheel nabakia mimi pekee, no Co Driver.

Kuna Mabadiliko ya abiria pia.

Tuongozana na Mzee CK, Mama Tereza, Beria, Joshua na Nyamtakama Majira ya saa tano tunaingia Singida Town, abiria wangu inaelekea wako hoi kwa safari. Lakini tunajipa moyo, milima ya kutisha tumekwisha ipita
Stop Over Singida inatukutanisha na Dada Pendo Yoweli.
Baada ya miaka mingi namna hiyo tunapata nafasi ya kupeana kilichojili tokea wakati huo.

Break Fast yetu inakuwa hapa Singida
Chai, Chapati na maandazi
Soda kupooza koo na vijinyama choma Kilometa kama 10 hivi kutoka Singida tunapata pancha, Tunabadilisha tairi safari inaendelea.
Kilometa 35 kabla ya Manyoni pancha ingine, hatuna spare tyre.
Inalazimu kuleta tyre zote mbili Manyoni mjini.
Wajasiriamali wanachangamkia tenda hapa Manyoni

Bw Zakaria, mkamata tenda.

Baada ya hapo safari inaendelea, kilometa 45 kabla ya Dodoma tunajikuta hatuna mafuta.

Baada ya mahangaiko ya hapa na pale tunafanikiwa kupata Mafuta na kuingia Dom usiku Asubuhi Dom ninapata hizi Taswira mbili


Dom, mjini kati, na baadae safari kama kawaida

Ndani ya Kongwa Ranchi tunapata pancha ingine. Tuweka the only spare tuliyokuwa nayo


Tunafanikiwa kuwahi lunch Morogoro

Tunashare na familia ya Dr

Alasiri, Misugusugu

Barabara imefungwa kutokana na ajali ya Gari ya Dodoma iliyoua watu 23


Njia ya vichochoroni imeelemewa na magari makubwa kwa madogo

Ni watu wengi mno wako stranded

Hatimae msaada wa kuondoa gari lililofunga njia unawasili

wakihangaika kupata njia

Mkombozi wetu "BLACK MAMBA"

Na hatimae safari inaendelea

Back at Kinyerezi, saa tatu usiku Jumanne 25.10.2011


Ni furaha ilioje, kumaliza Vacation yangu Salama.

Shukrani kwa Mwenyezi Mungu, Muumba wa vyote