Total Pageviews

Tuesday, February 13, 2018

BUS WAITING IN STYLE

Migungani Bus Stop, Bunda
Waiting to Catch the latest Bus from Mwanza to Iramba via Nakatuba.

BUHONGWA KWETU

Proposed Residence to be for the Family of Msalya "TALL"
Buhongwa, Mwanza

BUNDA NA WADAU

Showing Love na Wadau kwa sehemu mbalimbali.
This is Bunda Town

Monday, February 12, 2018

A DAY IN SHAMALIWA

Jumatano 07 Februari 2018,
Konozz na Wadau wa Familia yetu kubwa,
Shamaliwa, Igoma Mwanza Tanzania.
Udugu si kufanana bali kufaana.

BURIANI GASIGE MAFURU NYABHUYOGA 1974 - 2018

 Gasige Mafuru Nyabhuyoga,
Alhamisi 08 February 2018 kule Bhulinga, Majita.
Tukaongea kwa kirefu ukanisimulia Ato Z ya maradhi yako, ukiwa na matumaini makubwa ya kurejerea shughuli zako na familia yako.
Hakika hakuna ajuae!

Alfajiri ya Jumamosi ninaamushwa kujulishwa kwamba hauko pamoja nasi, Tangulia Binamu.
Wakezo na Watoto wako wanakulilia,
Upumzike kwa Amani
Makojo, Majita
Jumapili 11 February 2018 Nikashuhudia mwenyewe ukipumzishwa.
Hakika Mwenyezi Mungu Alitoa,
Na Mwenyezi Mungu Ametwaa,
Jina lake Lihimidiwe.

JASIRI HAACHI ASILI

Asili yetu Kilimo na Ufugaji.
Si vyema kuitupa mkono Asili,
Jambo jema ni kuiboresha.
Kilimo cha Kisasa na Ufugaji wa Kisasa wenye Tija.
Ni vyema basi kuhakikisha kuwa hata Mifugo inakuwa na Banda zuri lenye nafasi ya kutosha na lenye kuezekwa vizuri ili kuwakinga na jua na mvua.
Likizo Tyme, Nakatuba

MTOTO KWA MAMA HAKUI

Mwenda Tezi na Omo hurejea ngamani,
Nenda uendako, Mtoto kwa Mama Hakui.
Bunda, Tanzania
24 Jan 2018