Total Pageviews

Friday, December 19, 2014

DRIVING AS A PROFESSION

 
 
 
 
 
 
Baadhi ya picha za Mdau Silla, alipohudhuria na kuhitimu mafunzo ya Udereva wa Magari ya abiria.
VETA Mwanza

BWANA TUONESHE NJIA TUKUTUMIKIE

 


And he said to them, “Go into all the world and proclaim the gospel to the whole creation.

Mkutano mkuu wa mwaka 2014, Idara ya huduma za Wanawake wa Kanisa la Waadiventista wasabato, Mtwara. 

Thursday, December 11, 2014

Thursday, November 27, 2014

MORE EXAMINATION WISHES TO PENINA


Day two of National Examination for Std Four.
Mdau kutoka Morogoro,
PENINA GEORGE nae ni miongoni mwa walioanza mitihani hiyo.

VERY BEST WISHES PENINA

Wednesday, November 26, 2014

BEST OF LUCK IN EXAMS MINOO

First day in School, January 04th 2011
Maisha ya shule ni safari ndefu...........
Vumi, Vumilia ni safari ndefu.
Naam ndivyo ilivyo kwa Minoo na safari yake ya maisha ya shule.........
Hatimae baada ya miaka minne ya safari hii, leo anatakiwa kuvuka kikwazo cha kwanza.
Leo ni Mtihani wa Taifa wa darasa la Nne.

VERY BEST WISHES MINOO