Total Pageviews

Friday, August 23, 2013

MAISHA YA SHULE, NI SAFARI NDEFU

 Remember those good old days?
Huu hapa ni wimbo wetu mmojawapo.......
"Maisha ya shule ni safari ndefu,
vumi, vumilia
Ni safari ndefu"

LA HASHA, HUU SI UUNGWANA

Wengine wanaendesha kushoto,
Wewe unaendesha kulia
Hata nafasi iliyoachwa watu wa crossing wapite unaziba.
hatima yake foleni isiyo ya lazima.
La hasha,........
Huu si uungwana

Thursday, August 22, 2013

DELMONTE HAPA

Mbio zote zile asubuhi, mwisho wake huwa ni hapa.
Naam, hapa ndipo panatuweka mjini Bongo Darisalama.
Delmonte offices.

Wednesday, August 21, 2013

Monday, August 19, 2013

BON VOYAGE CK

Mzee CK, Kipunguni Jumamosi.
Sasa hivi yuko njiani kurejea Nakatuba, Musoma Express
Akiambatana na Eddy.
Hapa ni waliofika kumtakia safari njema.