Total Pageviews

Tuesday, June 26, 2012

MNARA WA MASHUJAA

 
 
 
 
 
Ndani ya Kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa Mugulani, pembezoni mwa uwanja mpya wa mpira.
Ijumaa 22 Juni 2012.
Niliwahi kupita hapa briefly kama Serviceman, R 7137 wa Oparesheni Safisha 1983

Monday, June 25, 2012

HAPPY BIRTHDAY YA MDAU ASHURA

Cake
Champagne
 Ashura

Blogger nae aliambulia keki
Ni jana
24 June 2012
Mdau wetu
ASHURA
alitimiza miaka kadhaa, na kukawa na hafla ndogo pale kwetu Kinyerezi.
HAPPY BIRTHDAY
OUR DEAR ASHURA

Friday, June 22, 2012

AHSANTE SHANGAZI

Kwa mdau Minoo a.k.a. Bonge jana siku ilimalizika vyema.
ni baada ya kupokea furushi la Vivalo kutoka kwa shangazi Mama Karen.
Wengine ilibidi tubakie kushuhudia pozi

ABHENDE MSALYA .....2.....

 Kutoka Ukonga Recreation hadi Garden KM
Salamu ile ikajirudia
 Wadau wakawasili
 Na picha za kumbukumbu pia zikapigwa
 Kwa style mbalimbali
 
 
 
 Mzunguko ukaanza
 Kikao hata hivyo kiangiwa na mushikeli baada ya kuzuiwa kupiga picha,
Sheria na Amri za Geshi
Kulipizia, wadau wakasema si hapa tu pa kukaa..................

Thursday, June 21, 2012

MATUNDA KWA KULINDA MWILI

 Matunda ni muhimu kwa ajili ya afya yako.
 
 
Kijiwe cha Matunda, Kipunguni KM Garden - Ukonga Dar Es Salaam

NYANDARO SEND OFF KIKAO CHA TISA

Hauchi, hauchi unakucha
siku zinazidi kuyoyoma.
17.06.2012 ni kikao cha Tisa, kabla ya shughuli kamili Ijumaa 22.06.2012
Kazi kubwa ni kufunga funga mafundo yaliyobakia
Wajumbe wakiwa makini kupitia ripoti za fedha
Ni nafasi adimu ya kupata kumbukumbu na Babu
Uhakiki wa majina
Ni wakati wa kutoa mialiko kwa waliochangia,
na hii ndiyo rangi yetu ya shughuli na kadi pia
Kufunga kwa maombi kwa ajili ya Mibaraka zaidi toka kwa Mwenyezi Mungu

ABHENDE MSALYA .....1.......

Jumamosi 16.06.2012, bila kupangwa ikawa siku ya jamii ya Msalya kukutana.
Wengine wakitokea kikao cha Send Off kwa Aziziz Alli
Wengine wakitokea kupata neno la Mungu Biafra
Mawasiliano yalipopita ikakubaliwa kukutana Ukonga Recreation.
Waheshimiwa wakiwasili
Salamu za mabadiliko
Tafakari ya aina ya kinywaji na menu
Walio wengi walikumbuka nyumbani siku hiyo.
Nikakukmbuka methali au usemi maarufu wa zama zile
'Wajanja wawili hawachangii kichwa cha sato"
Baada ya vijimambo vya hapa na pale ikaonekana kuna haja ya kujiunga na wadau wengine kule Kipunguni.
Lakini kwanza malipo ya bili..................................