Saturday, February 10, 2018

MILIMA HAIKUTANI, BINADAMU HUKUTANA

Penina Manyama,
Classmate Namalebe LY of 1973.
Majita Bhulinga February 2018
Pamoja na kupoteana kwa miaka takribani 45, nashuhudia hakuwahi kuwa mpiganaji wa ngumi.
Manjonjo ni ya Mpiga Picha wangu. 
Mr Ndaro
Ukoo wa kina Mtaray, Kibara
Bunda February 2018
Classmate Namalebe LY of 1973
Hakika kukutana na Watu mliopotezana muda mrefu ni uhondo tosha wa likizo.

No comments:

Post a Comment