Saturday, February 10, 2018

GONE BUT NOT FORGOTTEN

Nakatuba, Bunda
Crawford Kulwijira Msalya rests here
Igundu, Bunda
Nyamaila Kubhoja rests here
Bhulinga, Musoma
Chisute Mteki rests here
Mabhui Merafuru, Musoma
Kaitila Magoti rests here

Namna ya kuwakumbuka wazee wetu waliotangulia ni kufika pahala pale walipopumzishwa.
Likizo yangu imeniwezesha kuwakumbuka Wazee wetu waliofanikisha kutufikisha hapa tulipo.
Wametangulia, lakini Daima tutawakumbuka.
WAPUMUZIKE KWA AMANI.



No comments:

Post a Comment