Sunday, October 1, 2017

SALO REGION VOCATION COLLEGE

Chuo cha Elimu ya Ufundi, Salo
Mji wa Salo, wenye idadi ya wakazi inayokadiriwa kuzidi kidogo 50,000
Ni mfumo rasmi wa Elimu unaowafunza vijana kwa vitendo.
Nchini Tanzania huu ni mfumo kama wa VETA
Mojawapo ya Kozi wanazoziendesha katika Maarifa ya Jamii ni uendeshaji wa Mgahawa.
Kwa uzoefu huo, Wanakuwa wenyeji wetu kwa chakula cha Mchana
Jumatano tukiwa njiani kuelekea Mji wa Turku.


No comments:

Post a Comment