Sunday, October 1, 2017

PAIPPI SKI CLUB

Njiani kuelekea mji wa Turku,
Karibu na Paimio tumealikwa kutembelea Klabu ya Michezo ya kuteleza juu ya Barafu.
Ni jengo maalumu kwa ajili ya uhifadhi wa Barafu iliyoganda kwa muda mrefu.
Vijana kwa wazee wako mazoezini.
Ni maandalizi pia ya kujiweka tayari na Kipindi cha Baridi kinachoanza.

No comments:

Post a Comment