Saturday, September 2, 2017

VISA NA MIKASA YA DALADALA


Sanene leo Asubuhi,
Kwa Watumishi wa Daladala visa vya barabarani hulipwa papo kwa papo.
Mmoja kamvunjia kioo mwenzie kituo kilichopita,
Kituo kinachofuata nae kamziba kavunja kioo.
Sinema ya Kivita tayari, na watazamaji tupo.

No comments:

Post a Comment