Friday, September 1, 2017

MNUSO WA IDD KWETU NTWALA

Ndugu zetu Waislamu leo wamesheherekea Sikukuu ya Idd El Hajj. Hii ni baada ya Mahujaji katika mji wa Makka kukamilisha Nguzo ya tano na muhimu katika Uislamu.
Sikukuu hii huambatana na uchinjaji wa Wanyama kwa ajili ya sherehe.
Wadau wetu wa Mtwara walijumuika kwenye Sherehe ya Idd nyumbani kwa Familia ya Mdau Mr Kitwala.

No comments:

Post a Comment