Monday, August 7, 2017

FROM THE FILES OF MZEE CK

Watu wameendelea kuchimbua katika zinazodhaniwa kuwa ni Hazina za Mzee CK.
Wengi wakiwa wanaamini sasa kuwa Bi Penina, miaka mingi iliyopita hakuwa mpenzi sana wa kupigwa picha.
Lakini uvumbuzi wa karibuni wa Msalya Billy katika makaratasi ya Mzee CK umeibuka na Picha ya Bi Penina.
Imepigwa lini?
Linabakia ndilo swali la kujiuliza!

No comments:

Post a Comment