Friday, May 12, 2017

MAFURIKO, MZIZIMA INAZIZIMA

Naam, Mzizima inazizima!
Ndivyo unavyoweza kusema.
Ni mvua, mvua Dar Es Salaam.
Mvua zinazoendelea Dar sasa zimeanza kugeuka toka Baraka/Neema na kuwa Karaha.
Mdau wetu wa Tsunami Kitunda, Beria Malembo amekumbana na adha hii alfajiri ya leo.
Jitihada zinaendelea za uokozi wa mali na kuyatafutia njia ya kupita maji yaliyowazunguka.
Tumwombe Mwenyezi Mungu atunusuru na majanga ya mvua.

No comments:

Post a Comment