Wednesday, May 3, 2017

FOCONA

Forum for Conservation of Nature,
Wadau wakubwa wa mazingira mjini Mtwara. Makao makuu yao yapo Shangani West na ofisi ndogo zilizopo Kanisa la Biblia Mtwara, Kipunguni B Dar Es Salaam na Nakatuba, Bunda.
Safari yetu Mtwara tulipata fursa ya kutembelea Ofisi ndogo za Focona, Kanisa la Biblia Mtwara, Mtaa wa Makonde na Chikongola. Hapa pia ndipo zilipo ofisi za Msalya & Company Consultants. Wabobezi katika masuala ya sheria. Ni mkabala tu na Hotel ya Tiffany Diamond.
Mojawapo ya bustani inayotunzwa na Focona, Hapa kuna ujumbe maridhawa kwa Wapenda mazingira kwa ajili ya hifadhi ya mji wa Mtwara.

No comments:

Post a Comment